Programming | Animation | Designing

Suweyd Creative Studio

“Tokea 2011, Nimejitolea kutoa huduma katika “business information systems” nikiamini kuwa kila taasisi inahitaji watu, juhudi na “business information systems”  kwa ukuaji wa wenye tija.

Suweyd
HUDUMA

NINI NAFANYA?

#1

kutengeneza Mifumo ya Kompyuta

Naandika na kutengeneza mifumo ya kikompyuta kwa aina zote za mifumo (“web na desktop”) inayowiana na utendaji wa taasisi tofauti na kuendelea kukupa taarifa mbalimbali za kazi zako wakati wote kupitia ripoti tofauti zitakazo kuwezesha kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi.

#2

kutengeneza tovuti

Nina uwezo mkubwa katika kutengeneza tovuti kwa kupitia nyenzo tofauti kama vile html, css, boostrap, php pamoja na mifumo kama ya WordPress. Katika kuhakikisha wavuti yako inakuwa vizuri naitakayoendelea kunasa wateja wako kila wakati, nimeandaa mazingira rahisi na yenye kupendeza kuhakikisha unaweza kuwa mtandaoni muda wote na kwa bei nafuu zaidi.

 

#3

Usanifu picha

 

Katika kuboresha bidhaa zako huwenda ukawa na uhitaji wa kutengenezewa nembo, tangazo au kuboresha picha zako ambazo zipo katika mitandao ya kijamii. Usiwe na wasiwasi bonyeza mawasiliano ili tuwasiliane zaidi. 

KWA NINI UNICHAGUE?

UWEZO KATIKA KUKUZA BIASHARA YAKO

Najali Wakati

Ubora wa Kazi

Napatikana 24/7

Bei Nafuu

Nachapa kazi

Msaada Uhakika

WASIKILIZE

WASEMAVYO WATEJA

Before PoshoPlus we used to pay every year for salary processing software and every time we call developer for assistance. The GUI was awful and you cannot change everything in front end, anytime we want to change features like change on allowance rate resulting some extra cash to pay. With PoshoPlus now things are completely different.
Shamte, Omar
Zanzibar Airport Authorty
Since 2012 we are enjoying PoshoPlus and we have done one major update with all minor cost us nothing than a thank for a good service. Not just because it is cheaper compared to our previous system, but also gives us what we are expecting as client and some extra features including live support anytime anywhere.
Salim, Kassim
Zanzibar Maritime Authority

BAADHI YA WATEJA