MMIS

JIFUNZE KWA VIDEO

 • Kujisajili katika Mfumo wa StaffFile Pro.
 • Watumiaji wa Mfimo wa StaffFile Pro.
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za afya
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za ajira
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za kadi
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za dokument binafsi
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za mawasiliano
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za elimu

Bahati mbaya MMIS haina kujaribu

StaffFile ni mfumo ambao unakuweza kuweka kumbukumbu binafsi na za kifedha za wanachama wa kikundi, taasisi au umoja kwa urahisi na kwa bei nafuu kabisa.

Lipia TZS 380,000.00 na utumie maisha yako.

Tanbihi:

 1. Bei katika orodha ya juu ni kwa taasisi ambazo zinataka kulipa kwa kila mwezi.
 2. Bei katika orodha ya chini ni kwa taasisi ambazo zinataka kulipa kwa kila mwaka. 
 3. Malipo yote hayana aina yoyote ile ya kodi wala gharama za kuhamisha pesa na Suweyd Creative Studio imesajiliwa kulipwa 3% ya kodi ya mapato (Stamp Duty).