PoshoPlus

JIFUNZE KWA VIDEO

 • Ufahamu mfumo wa PoshoPlus.
 • Pakua na kuanza matumizi.
 • Uingizaji taarifa za awali.
 • Uingizaji taarifa za wafanyakazi.
 • Uingizaji taarifa maposho na mikato.
 • Utengenezaji wa mishahara.
 • Ripoti za PoshoPlus.

Unaweza kujaribu matumizi ya PoshoPlus bure kabisa. Pakua Mfumo wa PoshoPlus hapa kisha utatumia jina la kuingia “user” na nywila ni “password” kisha utaweza kuingia katika mfumo moja kwa moja na kuweza kuona yale yote yanayoweza kufanyika katika Mfumo huu katika database ambayo imeunganishwa mtandaoni.

Utalazimika kuwa na “internet” kwa ajili ya kuweza kutumia mfumo huu kwa majaribio.

PoshoPlus imetengenezwa kuwiana na mazingira ya utengenezaji Mishahara wa Tanzania – Ukizingitia ulipaji mshahara kwa misingi ifuatayo: (Basic Salary + Allowance – SocialSecurityContributions – PAYE – Deductions = Net Pay)

 • Mfumo wa PoshoPlus ni nafuu kibei kulinganisha na mifumo mengine iliyopo Tanzania.
 • PoshoPlus inauwezo wa kuruhusu matumizi ya kimfumo kwa mtu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.
 • PoshoPlus inatengeneza Payslip ya kila mfanyakazi kwa kila mwezi wa mshahara moja kwa moja mara tu baaada ya kutengenezwa mshahara
 • PoshoPlus inauwezo wa kutoa repoti zote muhimu kwa ajili ya mishahara na kuwasilisha katika mabenki, mifuko ya pensheni na mawakala wa kodi.
 • PoshoPlus unauwezo wa kumuweka kila mfanyakazi katika benki yake na mifuko ya pensheni na kila mmoja kuwepo katika ripoti inayowiana na wafanyakazi wa kundi lake.

PoshoPlus imegawika kibei katika makundi matatu.

 • Kundi la kwanza (Wanaojaribu): Hawa watatumia mfumo PoshoPlus bure kabisa bila kulipia chochote kwa muda wote wa majaribio.
 • Kundi la Pili (“Standard”): Ni kwa ajili ya kampuni zenye wafanyakazi wasiozidi 50. Watalipa TZS 480,000.00.
 • Kundi la Tatu (“Enterprise”): Ni kwa ajili ya kampuni zenye wafanyakazi waliozidi 50. Watalipa TZS 680,000.00

Tanbihi:

 1. Malipo yote yatafanywa mara moja tu na matumizi yatakuwa ni ya Maisha.
 2. Unaweza kutumia PoshoPlus ya majaribio kwa muda wote unaoutaka na bila kikomo, jaribu ujiridhishe kisha ndio ununue. 
 3. Malipo yote hayana aina yoyote ile ya kodi na Suweyd Creative Studio imesajiliwa kulipwa 3% ya kodi ya mapato (Stamp Duty).