mifumo

Je unafikiria njia bora ya kuweka taarifa ya wafanyakazi, kwa urahisi, kwa uhakika na kwa unafuu zaidi?

Nimekuletea mfumo madhubuti, utakaoweza kudhibiti taarifa zote za wafanyakazi wako wote, wakati wote, na kwa kutumia komputa yako au simu janja bila usumbufu wowote.

StaffPro pia inauwezo mkubwa wa kuhusisha wafanyakazi wenyewe kwenye mfumo katika uingizaji wa taarifa pamoja na unazishwaji wa mambo tofauti kama vile likizo, mikopo, madokezo na kadhalika.

StaffPro

Membership Management Information System MMIS – ni mfumo bora zaidi kwa ajili ya uwekaji wa taarifa za wanachama katika vikundi na taasisi tofauti. Mbali na hilo mfumo huu una uwezo wa kupokea taarifa za malipo kwa wanachama pamoja na kuwalipa wao wenyewe ikiwa inaweka kumbukumbu za mwanachama mmoja mmoja na kutoa ripoti tofauti.

MMIS

PoshoPlus ni mfumo maalum kwa ajili ya kutayarisha mishahara uliotengenezwa kwa kuzingatia vigezo vya hali ya juu na kukidhi matakwa ya uandaaji wa mishahara, Bodi ya Mapato, Mifuko ya pencheni na Mifuko ya bima ya afya. Mfumo huu umetengenezwa kwa uyakinifu na kumuwezesha mtumiaji kufikia katika kila nyanja kwa kupitia komputa yake bila kuhitaji usaidizi wa hali ya juu.

PoshoPlus

Pakua hapa