StaffFile Pro

JIFUNZE KWA VIDEO

 • Kujisajili katika Mfumo wa StaffFile Pro.
 • Watumiaji wa Mfimo wa StaffFile Pro.
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za afya
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za ajira
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za kadi
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za dokument binafsi
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za mawasiliano
 • Uingizaji taarifa binafsi: Taarifa za elimu

Unaweza kujaribu matumizi ya StaffFile Pro bure. Bonyeza “JARIBU BURE” hapo juu kisha tumia “username” na “password” kama ifuatavyo:-

 • Mfanyakazi wa kawaida: ata
 • Mkubwa wa kitengo: sos 
 • Afisa utumishi: asa

Kwa  “Username” na “Password”  utatumia jina hilo hilo, kama utatumia ata basi utaingina ata kama “username” na “password” pia ata

StaffFile ni mfumo ambao unamuwezesha afisa utumishi kuweka kumbukumbu wa wafanyakazi na kuweza kuzipata kwa urahisi pale anapozihitaji.

Kumbukumbu hizo ni pamoja.

 • Taarifa binafsi za mfanyakazi.
 • Taarifa za wale wanaomtegemea.
 • Taarifa za ajira zake za zamani.
 • Taarifa za elimu na taaluma.
 • Taarifa za matibabu na afya.
 • Barua mbalimbali alizoandikiwa mfanyakazi.
 • Taarifa za mawasiliano.
 • Taarifa za kadi tafauti.

StaffFile imegawika kibei katika makundi manne kutokana na idadi ya wafanyakazi kama ifuatavyo.


Tanbihi:

 1. Bei katika orodha ya juu ni kwa taasisi ambazo zinataka kulipa kwa kila mwezi.
 2. Bei katika orodha ya chini ni kwa taasisi ambazo zinataka kulipa kwa kila mwaka. 
 3. Malipo yote hayana aina yoyote ile ya kodi wala gharama za kuhamisha pesa na Suweyd Creative Studio imesajiliwa kulipwa 3% ya kodi ya mapato (Stamp Duty).